Black7
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 367
- 115
Habari waungwana,
Nahitaji kumtumia mtu kamzigo kadogo kwa njia ya posta, yeye yupo huko mbugani, serengeti (hotelini). Sasa nataka nimtumie kapaseli kwa njia ya posta kwa kupitia anwani ya hotel hyo. Sijawahi fanya mambo hizi ila sasa ndo nahitaji kujaribu.
Kwanza je, suala hilo linawezekana ama la?
Then nijuzeni changamoto za kutuma mzigo kwa njia hiyo, ili nifanye maamuzi yakinifu.