Msaada: Kutuma madai TCRA

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,471
Reaction score
1,578
Wakuu TCRA ilitoa tangazo ikiwaomba wananchi waliotozwa chanel za bure kwa ving'amuzi vya Azam,ZUKU na DSTV watume taarifa zao.

Nina madai hayo lakini utaratibu wao na jinsi ya kutuma ikiwemo email yao sina.Mwenye taarifa zao anisaidie please
 
Mi sijajua pa kuipata namba ya king'amuzi cha dstv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…