elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,764 Mar 10, 2013 #1 wakuu, naomba mkali wa java anielekeze jinsi ya kutengeneza code za java ambazo nizilink na form ya html kwa ajili ya guestbook. Tatizo langu kubwa ni jinsi nitakavyoandaa java. (note: nataka kutumia java si language nyingine tofauti na java)
wakuu, naomba mkali wa java anielekeze jinsi ya kutengeneza code za java ambazo nizilink na form ya html kwa ajili ya guestbook. Tatizo langu kubwa ni jinsi nitakavyoandaa java. (note: nataka kutumia java si language nyingine tofauti na java)