Msaada kutengeneza chat room database php script

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
wataalam wa haya mambo naomba ujuzi wenu mimi na wengine tusiojua juu ya hii kitu.

shida yangu kubwa nataka nitengeneze website ambayo mtu lazima ajisajili ndipo aingie ndani na kuona mambo yanayoendelea ndani....
sasa majanga yanaanzia jinsi ya kufuma database ya kuwezesha hiyo kitu

SHIDA YANGU KUBWA NI HIVI VITU

REGISTER FORM
LOGIN FORM
LOG OUT FORM
USERS DATABASE
CHATROOM DATABABE
 
Dogo samahani lakini, kwa jinsi ulivyoeleza sidhani kama utapata msaada hapa maana hueleweki na wewe mwenyewe huelewi unachoongea. Sina uhakika kama hata una idea ya programing maana vitu ulivyoomba usaidiwe ni too basic kwa mfano kutengeneza login form.

Labda ueleze kiwango chako cha elimu ili usaidiwe tutorials zitakazo kuwezesha kujifunza lugha za programing.
 
Samah wewe si ndio ulisema unaweza mtengenezea mtu website kwa laki mbili sasa kama simple issues kama hizo hujui tukusaidie? Nakushauri nenda chuo kwanza uanze hata certificate website waachie ambao wanaujuzi tu maana inaonekana huna hata basic knowledge ya php mysql au asp
 

tatizo sio kutengeneza login form ila ni vile mtu akishajaza hzo details zake katika login form au register form ninafanyaje ili kuziconnect katika database ili mtu aweze kuingia ktk tovuti yangu? sory kwa kutoeleweka mwanzo
 

ni kweli,lakini website aliyoongelea jamaa haiitaji database yoyote.sio ya kuchat,ni simple web ambazo ni rahisi kwangu
 
Yaani wewe unaomba msaada hata kutengeneza login form hujui. Ni bora utafute course usome upyaa.
N

nilichapia.ni jinsi ya kuconnect hzo form na db yangu ndo ishu.lakin kama unaweza si unamwaga tu ujuzi hapa
 
Nashindwa nikusaidie vipi? Ila ngoja nijaribu kama utanielewa

1. Inabidi utengeneza connection ya hizo form na Database yako, file lako liite e.g connection.php

<?php $con=mysql_connect('localhost', 'root', 'pass') or die("not connected");
$db=mysql_select_db('malo', $con) or die("not selected");
?>

N.B
root = username yangu kuingia kwenye database .
pass = password yangu.
malo = Jina la database yangu.

2. Kutengeneza Login form, then iite eg login.php

<html>
<body>

<form action="process.php" method="post">
Username <input type="text" name="username" id="username" required>
Password <input type="password" name="password" id="password">
<input type="submit" value=" Login " id="login_submit ">
</form>


</body>
</html>

N.B
Hiyo form ikishajazwa itatumwa kwenda file la process.php ambalo itabidi ulitengeneze na kuulita e.g process.php

Ndani ya file la process.php

<?php



session_start();


// Declare the variables.


$username=mysql_real_escape_string($_POST["username"]);
$password=mysql_real_escape_string($_POST["password"]);

// Inatengeneza connection na database
include("connection.php");


// Ina Search kwenye database kama username na password zote zipo.
$select1 = "SELECT * FROM tblmembers WHERE MemberID='$username' AND Password='$
password'";
// tblmembers ni jina la table yangu lenye column za MemberID na Password




$result1 = mysql_query($select1);
$rows=mysql_num_rows($result1); // Search row zote kwenye table yangu.
$fetch=mysql_fetch_array($result1);


if($rows!=0)
// Kama rows zipo zaidi ya 0, yaani kuanzia moja then
{
$_SESSION['memeberID']=$username; // SESSION inabeba username iliyopatikana

header("Location:user.php");
// Then inakupeleka kwenye file la user.php

}
else
{
header("Location:login.php"); // Kama username yako haipo unarudishwa kwenye login form
}

?>


Hapo nimejaribu kuelezea kwa ufupi sana kwa mtu ambaye ni bigginer, ila sidhani kama itakuwa ni rahisi kuelewa labda ungekuwa karibu na mtu anayejua akusaidie ku-correct errors



 
wordpress. au kwa ushauri zaidi nitumie platform gani

WordPress ni drag and drop kwisha habari, natumia simu ningekuelekeza zaidi kama ningekuwa kwenye PC lakini kwa sasa nenda google search 'how to build a membership site with WordPress'.
 

asante mkuu..kabla sijajalibu hiyo njia yako mi nilifanya hivi

nilitengeneza login form ya demo ambayo ndani ilikuwa hivi

<form action="process.php" method="post">
Your Name: <input type="text" name="name"><br>
E-mail: <input type="text" name = "email"><br>
Location: <input type="text" name = "location"><br>
<input type="submit" value="Submit">
</form>

then nikatengeneza process file ambyo ndani ilikuwa hivi

<?
$name=$_POST['name'];
$email=$_POST['email'];
$location=$_POST['location'];
mysql_connect("mysql4.000webhost.com", "
xxxx", "xxxx") or die(mysql_error());
mysql_select_db("a9677500_data") or die(mysql_error());
mysql_query("INSERT INTO `data` VALUES ('$name', '$email', '$location')");
Print "thank you.";
?>

lakini nilipojaribu kujaza hiyo form ya login ili nione kama data zitafika ktk hiyo table ikanigomea ikanipa ujumbe huu



[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]PHP Error Message[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Warning: mysql_connect() [function.mysql-connect]: Host '31.170.160.81' is not allowed to connect to this MySQL server in /home/a9677500/public_html/process.php on line 5

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Host '31.170.160.81' is not allowed to connect to this MySQL server


hapo nimekosea wapiiiii???? kaka
 
Jifunze Yii au Laravel. Itakusaidia kuokoa muda! Provided una experience kidogo na Php na OOP concept
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…