Mkuu kwa umri na heshima yako mi nakushauri bora tu ufute zote facebook na hio messenger yake.
Maendeleo hayana chama
Uninstall hiyo facebook iache messenger itaendelea kufanya kaziHabari Watalaam,
Naomba mwenye kufahamu kama inawezekana nikafuta facebook nikabaki na ile messenger yake tu anielekeze.
Hii imetokana na siku moja niliaibika sana baada ya kukuta page ya rafiki yangu mmoja imejaa picha chafu za porn. Na binti zangu huwa wanaazima simu mara nyingine ingawa wana simu zao.
Kwa mfano ilikuwepo picha moja mbaya pale na title" angalia demu anakali mb..."
nikaja kujua wiki nzima zilikuwepo kwenye fb. Hii kitu sio nzuri na sielewi zinaingiaje au jamaa yangu nduo anatembekea site hizo.?
Basi tusaidiane kwa hilo kama inawezekana
PoaUninstall hiyo facebook iache messenger itaendelea kufanya kazi
Sasa mkuu kesi ya fecebook unaleta huku mzee View attachment 1018760
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa umri na heshima yako mi nakushauri bora tu ufute zote facebook na hio messenger yake.
Maendeleo hayana chama
Yalioyomtokea jamaa mpaka akaamua kuomba msaada wewe haujaona kua ni shida?[emoji16] kwani kuna shida gani facebook?
Ukiona mtu anatuma picha fb huzipendi si umfute urafiki, easy tu. Shida nene' ?
Yalioyomtokea jamaa mpaka akaamua kuomba msaada wewe haujaona kua ni shida?
Maendeleo hayana chama
Naona unarahisisha kuna mtu mwingine mna mahusiano ya kibiiashara kumfuta ni sawa. Nae anasema hakuziweka hizo pocha. Ila nilitaka isitokee tena nina marafiki mpaka nje ya nchi tunatrmbeleana halafu wanakuta porn sites. Bora kutoa fb yote nibaki kuwasiliana na mesenger. Nashukuru kwa msaada. Ila madhara yake ni mabaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
OK maana kila mtuDownload applock unfunga applications hutaki watu waingie without your pernission.
Sawa kamandaDownload applock unfunga applications hutaki watu waingie without your pernission.