Salaam wanajamvi,
Kuna dogo anatamani kusoma programming languages zitakazomwezesha kutegeneza programs zitakazoweza kutumika kwenye simu zinazotumia android na nyingenezo.
Elimu yake ni kidato cha 6 na yupo Dar.
Kama kuna private tutor au short course tafadhali tungependa sana.
Angependa kujua muda wa kujifunza basic na intermediate.
huko mbali kwanza html yenyewe anajua??Mwambie aanza na c++ . Mimi natu
mia Q creator na Qt kutengeneza app zangu .
Hiyo kweli , kwa sasa naandika app ya android ya kuangalia matokeo ya Necta (nitaipost google play week hii) kwa kutumia qt creator Languages ninazotumia katka kuandika app hii ni qml, javascript xml kwa kutengeneza frontend(UI) na C++ kwa ajir ya backend. Pia knowledge ya html nimeitumia katika app kutengeneza html parserhuko mbali kwanza html yenyewe anajua??
imekaa poa sana kijana,jitahidi ukimaliza tupia humu ntakuwa wakwanza kuichekiHiyo kweli , kwa sasa naandika app ya android ya kuangalia matokeo ya Necta (nitaipost google play week hii) kwa kutumia qt creator Languages ninazotumia katka kuandika app hii ni qml, javascript xml kwa kutengeneza frontend(UI) na C++ kwa ajir ya backend. Pia knowledge ya html nimeitumia katika app kutengeneza html parser
yap ;lazima niipe promo humuimekaa poa sana kijana,jitahidi ukimaliza tupia humu ntakuwa wakwanza kuicheki
Chura kwa applications ambazo sio real time sioni advantage ya anayeanza kujifunza C++ na QT. Kwanza inabidi ajifunze language kama tatu, QML, JS na C++. Wakati akiamua kutumia Android native Sdk anapaswa kujua Java tu.
Kuna njia nyingi za kuandika Android app, kama kutumia Cordova au Mono touch Lakini best ni kutumia Java na kama kuna Issue performance critical just use NDK au JNI directly.
That being said kuna vitu unakosa mfano huwezi ifanya app yako iwe inacomply na material design na hivyo kuwa na sura ambayo haipendezi.
mi namshauri tu kama anapenda programming apply computer science au engineering chuo kikuu kuna mambo mengi ya kujifunza kabla ya hizo android development na software. Maana tunaosoma tunaelewa mziki wake