Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 May 3, 2013 #1 nimewahi kumrekebishia mtu ila leo nimeletewa ingine na naona settings ni tofauti na ya awali na ni tofauti na iphone ya kawaida, sasa kama kuna mtu ana uzoefu na hizi iphone za china mobile anisaidie
nimewahi kumrekebishia mtu ila leo nimeletewa ingine na naona settings ni tofauti na ya awali na ni tofauti na iphone ya kawaida, sasa kama kuna mtu ana uzoefu na hizi iphone za china mobile anisaidie
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 May 3, 2013 #2 kama ni line ya tigo nenda kwenye internet profile halafu weka url ya google kisha ifanye kuwa default itakubali hapo..
kama ni line ya tigo nenda kwenye internet profile halafu weka url ya google kisha ifanye kuwa default itakubali hapo..