kama ni kuanzia android ya marshmallow kwenda juu, then kuroot kwa simu ni mziki, kwa PC ni njia nyepesi
Sidhan kama Hili swali limejibu kile kilichoulizwaKwa sababu gan unataka kuroot sim yakO
Aah sawaSidhan kama Hili swali limejibu kile kilichoulizwa
Mkuu ungetoa elim tujifunze na wengine!, utuambie ni software gan unatumia na hatua zote za kufuata .. Ungesaidia sanaKama Una Pc na Unautaalamu kidogo Kucheza na Program ila Hio Ya Kuroot umeshindwa Nichek