Msaada Kupoteza vyeti

Msaada Kupoteza vyeti

sammgeni

Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
50
Reaction score
4
Naomba kuuliza process za kufuata kwa mtu aliyopoteza cheti cha elimu ya secondary(necta).

Natanguliza shukrani...
 
Mh Mkuu ukaguzi ni lini utawahi kweli.

Katoe ripoti kituo cha Polisi kwanza then utakwenda baraza la mitihani watakueleza cha kufanya.

Pole Mkuu.
 
Hahahaha mkuu achia ngazi tu....ndo utakuwa salama
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Naomba kuuliza process za kufuata kwa mtu aliyopoteza cheti cha elimu ya secondary(necta).

Natanguliza shukrani...
Cha kwanza nenda polisi ukachukue RB alaf then nenda necta watakupa maelekezo zaid sana sana utaambiwa ukafungue tangazo katka gazeti la serikal
 
Mm nashangaa sana hawa watu, inakuaje cheti changu kipotee halafu niendelee kula bata tu mpaka pale msako unapotokea ndio ninashituka kukitafuta. Haiwezekani hapa kuna mchezo mchafu unaondelea.
 
Mm nashangaa sana hawa watu, inakuaje cheti changu kipotee halafu niendelee kula bata tu mpaka pale msako unapotokea ndio ninashituka kukitafuta. Haiwezekani hapa kuna mchezo mchafu unaondelea.
Wanazuga vyeti vimepotea ili wasitumbuliwe nn?
 
Back
Top Bottom