BabaJunior
Member
- Nov 20, 2012
- 40
- 16
Jamani nashindwa kurecover data kutoka kwenye hard disc ya laptop yangu. kila nikijaribu kufungua inasema DO YOU NEED TO FORMAT YOUR HARD DISK? naomben msaada kama kuna namna yeyote ya kupata data zangu.
natanguliza shukrani
natanguliza shukrani