H hancy designer Member Joined Mar 25, 2017 Posts 40 Reaction score 17 Mar 28, 2017 #1 Habar zenu mimi ni hancy naomba msaada kama kunamtu anauelewa wa kupata domain kwaajili ya blog lakini iwe domain ya bure
Habar zenu mimi ni hancy naomba msaada kama kunamtu anauelewa wa kupata domain kwaajili ya blog lakini iwe domain ya bure
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Mar 28, 2017 #2 Hicho ni kitu ambacho HAKIPO kuna Domain za Bure ila sio .Com, na hizo domain za bure kuna kipindi utatakiwa ULIPIE
Hicho ni kitu ambacho HAKIPO kuna Domain za Bure ila sio .Com, na hizo domain za bure kuna kipindi utatakiwa ULIPIE
H hancy designer Member Joined Mar 25, 2017 Posts 40 Reaction score 17 Apr 19, 2017 Thread starter #3 muvika online said: Hicho ni kitu ambacho HAKIPO kuna Domain za Bure ila sio .Com, na hizo domain za bure kuna kipindi utatakiwa ULIPIE Click to expand... Poa mkuu
muvika online said: Hicho ni kitu ambacho HAKIPO kuna Domain za Bure ila sio .Com, na hizo domain za bure kuna kipindi utatakiwa ULIPIE Click to expand... Poa mkuu
steve_shemej JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,191 Reaction score 1,629 Apr 19, 2017 #4 hancy designer said: Poa mkuu Click to expand... hakna .com ya bure ila kuna za bei rais kma .tk.ca.ga utapata kwa bei ndogo wafuate oceanmedia
hancy designer said: Poa mkuu Click to expand... hakna .com ya bure ila kuna za bei rais kma .tk.ca.ga utapata kwa bei ndogo wafuate oceanmedia
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,714 Reaction score 14,839 Apr 19, 2017 #5 Usipende vya bure mkuu...ukigharamia utafaidika kwani wewe ndie utakaye kuwa mmiliki 100% ila vya bure vina masharti na mmiliki wa halali siku yoyote akiamua anaweza kukuzimia hiyo domAin akampatia mtu mwingine...jifunze kugharamia.
Usipende vya bure mkuu...ukigharamia utafaidika kwani wewe ndie utakaye kuwa mmiliki 100% ila vya bure vina masharti na mmiliki wa halali siku yoyote akiamua anaweza kukuzimia hiyo domAin akampatia mtu mwingine...jifunze kugharamia.