Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Shirika liko wazi kabisa Eurowater project,,,Wana project Uganda, senegalKuna uzi umu ulisem ni utapeli huo
Shirika Ni Euro water projects Wana project,Uganda,Senegal, na watakuwa na projectbongoAloo, wanakutapeli ao
Mwenye uzoefu na Certified Cognitive Report kama interviewShirika liko wazi kabisa Eurowater project,,,Wana project Uganda, senegal
Unaenda kulia kilio kikuu sana..!! Hawa hawama tofauti na wale wa PAR testHi wakuu, niliomba kazi shirika moja la wabeligiji, Sasa leo nimetumiwa email, kuwa inabidi niambatanishe CCCR, na form ya entry stuff, wameweka link mbili jinsi yakupata iyo certificate
Lakini Cha kushangaza hiyo tahasisi inayotoa iyo certificate Ni kuwa lazima ulipie,na hela Sina
Nawezaje kupata free CCCR
Karibu
KwaniniUnaenda kulia kilio kikuu sana..!! Hawa hawama tofauti na wale wa PAR test
Hi wakuu, niliomba kazi shirika moja la wabeligiji, Sasa leo nimetumiwa email, kuwa inabidi niambatanishe CCCR, na form ya entry stuff, wameweka link mbili jinsi yakupata iyo certificate
Lakini Cha kushangaza hiyo tahasisi inayotoa iyo certificate Ni kuwa lazima ulipie,na hela Sina
Nawezaje kupata free CCCR
Karibu
View attachment 2321118
Mkuu, hao ni matapeli... period!Kwanini
Na mimi naungana na wote waliosema ni matapeliHi wakuu, niliomba kazi shirika moja la wabeligiji, Sasa leo nimetumiwa email, kuwa inabidi niambatanishe CCCR, na form ya entry stuff, wameweka link mbili jinsi yakupata iyo certificate
Lakini Cha kushangaza hiyo tahasisi inayotoa iyo certificate Ni kuwa lazima ulipie,na hela Sina
Nawezaje kupata free CCCR
Karibu
View attachment 2321118
ChekiHi wakuu, niliomba kazi shirika moja la wabeligiji, Sasa leo nimetumiwa email, kuwa inabidi niambatanishe CCCR, na form ya entry stuff, wameweka link mbili jinsi yakupata iyo certificate
Lakini Cha kushangaza hiyo tahasisi inayotoa iyo certificate Ni kuwa lazima ulipie,na hela Sina
Nawezaje kupata free CCCR
Karibu
View attachment 2321118
Haaaaaaa kinachonishangaza Wana Hadi website, email,contacts kila kizuI bet moja ya link haipo active hao ni waongo wababaifu mafashisti nduli dada waliniibia 230000 sina hamu nililia kilio cha kujaza watu
Yani ni certified matapeliHaaaaaaa kinachonishangaza Wana Hadi website, email,contacts kila kizu
SawaaYani ni certified matapeli
Pole,kwa hiyo na wewe waliokwambia wanataka hiyo report ukatuma Pesa ili kuipata daah[emoji1787][emoji1787]pole sanaI bet moja ya link haipo active hao ni waongo wababaifu mafashisti nduli dada waliniibia 230000 sina hamu nililia kilio cha kujaza watu