Habari zenu wakuu nilikuwa nahitaji msaada wenu mm nimeanza kufuga dread na kama week ya 3 hivi lakini sijawahi kutumia mafuta yeyote yale coz mimi nilisokota na sabuni 2.
Sasa leo ndo nimenunua mafuta sasa ya dread sijui jinsi ya kutumia unatumia kila siku au katikati ya week au mwisho wa week.
Na je unaweza kupaka mwenyewe au unatakiwa uwe na mtu pembeni au hadi uende saloon msaada wenu tafadhali kwa mtu ambaye anajua.
habari zenu wakuu nilikuwa nahitaji msaada wenu mm nimeanza kufuga dread na kama week ya 3 hivi likin sijawahi kutumia mafuta yeyote yale coz mm nilisokota na sabuni 2 sasa leo ndo nimenunua mafuta sasa ya dread sijuwi jinsi ya kutumia unatumia kila siku au katikati ya week au mwisho wa week na je unaweza kupaka mwenyew au unatakiwa uwe na mtu pembeni au hadi uende saloon msaad wenu tafadhali kwa mtu ambaye anajuwa
Samahani kidog kam unawez kunijib kam nilivo kuambiy mwanzo kwamba vyakwang ni vidog na ww ukaniashauri kam ni vidogo unawez ukaweka mafuta kwenye mkono wako na kujizungusha sas mm nilikuw natak 2 nijuw ni kila siku niwe napak au kila week samahani lakin kam ntakuw nakusumbua.
samahani kidog kam unawez kunijib kam nilivo kuambiy mwanzo kwamba vyakwang ni vidog na ww ukaniashauri kam ni vidogo unawez ukaweka mafuta kwenye mkono wako na kujizungusha sas mm nilikuw natak 2 nijuw ni kila siku niwe napak au kila week samahani lakin kam ntakuw nakusumbua
Habari zenu wakuu nilikuwa nahitaji msaada wenu mm nimeanza kufuga dread na kama week ya 3 hivi likin sijawahi kutumia mafuta yeyote yale coz mm nilisokota na sabuni 2.
Sasa leo ndo nimenunua mafuta sasa ya dread sijuwi jinsi ya kutumia unatumia kila siku au katikati ya week au mwisho wa week.
Na je unaweza kupaka mwenyew au unatakiwa uwe na mtu pembeni au hadi uende saloon msaad wenu tafadhali kwa mtu ambaye anajuwa.