busmaster Senior Member Joined Jul 7, 2017 Posts 115 Reaction score 67 Jul 28, 2017 #1 Naombeni mawazo yenu jinsi ya kuongeza viewers katika blog..... Sent using Jamii Forums mobile app
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 958 Reaction score 380 Jul 28, 2017 #2 publish vitu vya maana na kupendwa Sent using Jamii Forums mobile app
Mahamoud Salum Member Joined Feb 26, 2014 Posts 18 Reaction score 10 Jul 28, 2017 #3 Andika vitu vyenye ubunifu kisha share utapata returning viewers.
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,320 Reaction score 2,489 Jul 28, 2017 #4 share sana kwenye social networks kama facebook,jf,twitter,google+ n.k kwa kuweka link i hope hiyo njia itakuongezea traffic
share sana kwenye social networks kama facebook,jf,twitter,google+ n.k kwa kuweka link i hope hiyo njia itakuongezea traffic
busmaster Senior Member Joined Jul 7, 2017 Posts 115 Reaction score 67 Jul 28, 2017 Thread starter #5 [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] white hat said: share sana kwenye social networks kama facebook,jf,twitter,google+ n.k kwa kuweka link i hope hiyo njia itakuongezea traffic Click to expand... Inawezekana kushare jf? Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] white hat said: share sana kwenye social networks kama facebook,jf,twitter,google+ n.k kwa kuweka link i hope hiyo njia itakuongezea traffic Click to expand... Inawezekana kushare jf? Sent using Jamii Forums mobile app
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,320 Reaction score 2,489 Jul 28, 2017 #6 busmaster said: [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Inawezekana kushare jf? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... inategemea na aina ya mada/topic yako unaweza kuleta kama uzi hapa jf mwishoni ukaweka link ya website yako watu wakajifunze zaidi huko.
busmaster said: [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Inawezekana kushare jf? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... inategemea na aina ya mada/topic yako unaweza kuleta kama uzi hapa jf mwishoni ukaweka link ya website yako watu wakajifunze zaidi huko.
Pawaga JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,349 Reaction score 1,011 Jul 28, 2017 #7 white hat said: share sana kwenye social networks kama facebook,jf,twitter,google+ n.k kwa kuweka link i hope hiyo njia itakuongezea traffic Click to expand... Tena awe ana-share mambo ya kikubwa na udaku....hahahahaaaa hapo lazima blog yake iwe busy kwa hawa wazee wa makinikia wanapenda sana udaku na uongo uongo Sent using Jamii Forums mobile app
white hat said: share sana kwenye social networks kama facebook,jf,twitter,google+ n.k kwa kuweka link i hope hiyo njia itakuongezea traffic Click to expand... Tena awe ana-share mambo ya kikubwa na udaku....hahahahaaaa hapo lazima blog yake iwe busy kwa hawa wazee wa makinikia wanapenda sana udaku na uongo uongo Sent using Jamii Forums mobile app
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Jul 28, 2017 #8 share kwenye social media kama una budget nzuri tangaza hii ni bora zaidi