Nifanyeje mpenzi wangu nikiongeanae kwenye sim hunijali sana yan anaonesha kunipenda sana ananipigia message kama kawaida ila tukikaa pamoja nyumban haipiti wiki bila kugombana bila kubishana kwa vitu vidogo vidogo swala hili linanikwaza sana na sipendi liwe linatokea nifanyeje nampenda sana.
Ili uweze kupata msaada kimawazo jaribu kutoa maelezo kidogo nikimaanisha udadavue hoja yako vizuri. Mfano mko ktkk mahusiano muda gani? Mnaishi umbali gani? Mnakutana marangapi kwa siku wiki au mwezi? Na uanze na jinsia yako pia