Nimepata namba ya dem mpya nitumie mbinu gani ili niweze kumpata maana hata nashindwa pa kuanzia na mtoto ana uelewa mkubwa sana na kazi yake! Nilikutana naye mara moja tu! Ila nataka mbinu za kumuingilia ila nimekwama naomben nondo nianzie wap
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaa hapo ndo nakwama aise
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulionana nae Mara moja tu? Vp umeshapata angalau moja mbili kuhusu yeye? Anaweza kuwa mke wa MTU.Nimepata namba ya dem mpya nitumie mbinu gani ili niweze kumpata maana hata nashindwa pa kuanzia na mtoto ana uelewa mkubwa sana na kazi yake! Nilikutana naye mara moja tu! Ila nataka mbinu za kumuingilia ila nimekwama naomben nondo nianzie wap
Sent from my iPhone using JamiiForums
Funguka tu liwalo na liweHahahaa hapo ndo nakwama aise
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata mm huwa nashangaa kwel unamoigopaje mwanamke ambae hata yy anajua kabisa lazima awe chin ya dumemwanamke ameumbwa kuwa chini yako,unashindwaje kitu kidogo kama hicho,ila tambua rafiki yake huyo atakuwa amisha mwambia kuwa ametoa namba yake
Mtumie laki 2 kwenye simu kwanza. Hapo utakuwa umelainisha njiaHahahaa hapo ndo nakwama aise
Sent from my iPhone using JamiiForums