Jiandae mkuu,, wakifungua dirisha tu wewe njoo ni kozi moja nzuri sana! Mwanzoni walikuwa wanaajiriwa kwenye hospitali za wilaya na walikuwa wanafanya vizuri kuliko waliosomea maabara za binadamu. Shida iliyojitokeza ni kwa vile hawakufundishwa mambo ya binadamu, ila kulikuwa na mchakato wa kuongoza kozi za binadam kwenye mitaala yao ili waendane na hilo ombi!Sawa mkuu
Bado ipo hadi leo ila nasikia wanataka diploma holder tu.Mbona naskia umeondolewa cku hizi
Zipo Diploma na BachelorSamahani ivi Bugando, awatoi izo kozi za laboratory