MSAADA: KUNA APP INAITWA 'PHONE CONTROL'

Emmado

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
225
Reaction score
279
Habari wakuu!

Kuna app ya simu za android inaitwa PHONE CONTROL, hii app nilishaitumia miaka ya nyuma ya 2012-2013.
Hii app inahusika na kukupa taarifa zote za simu uliyo install hiyo app kuanzia...
calls zote
sms zote
email

location na n.k
Ilikua msaada sana nilipopoteza simu kwani niliweza kuendelea kuwa na data zangu zote kwenye email yangu..

Nimejaribu kuitafuta kila mahali online nimekosa nawasiwasi labda imebadilishwa jina au sijui labda imehamishiwa kwenye android market ambayo siijui...
 
use phone tracker

shida ya "phone tracker" ukisha install icon ya app inabaki so haitafaa...
hiyo ukisaha install icon ya app inapotea ... au inakuwa hidden mpaka u dial namba flani ambazo unakuwa umezichagua wewe ndio app inafunguka.. ina run full background ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…