Msaada kulog in facebook

maege

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
309
Reaction score
73
Habari wakuu??
Nipo kijijini na busy sana, jana nimepata muda nikasema walau niangalie nini kinaendelea kwenye mitandao yote ikiwepo ya kijamii thanks JF imekuwa easy na mingene. tatizo langu ni fb kila nikilog in inaniletea ile page ya kulog in tena. Nikiweka wrong p/w inaniambia wro
ng p/w na wananisendia meseg kwa email nilog in nikijaribu tena ni vile vile inaniletea page ya kulog in haifungui fb wall yangu. Msaada wapendwa ili walau kaweek end aka ka sikukuu nijiupdate na mapya ya dunian.
nitashukuru kwa misaada yote hata ile ya kuniponda.
 
Kama una muda mrefu huja access acoun
t yako.......itakuwa imezuiwa.......
..

sio mda mrefu sana mkuu, huwa nabeep na haiwezi pita mwezi m1 sijaingia. Asante kwa msaada pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…