Maundumula na Mwanamke tajiri mdog mlionyesha interest kwenye hilo shamba, kwa sasa matatizo yangu yamepungua tunaweza kuanza shughuli. Maundumula uliulizia bei ya kukodi. Bei za soko kwa sasa ni Shilingi 1000/= kwa siku na kwa mwaka inazungushwa na kuwa Shilingi 350,000/= badala ya Sh. 365,000/=. Haya tuwasiliane kwa ajili ya kufanya kazi wiki ijayo, say Jumamosi ya tarehe 22.06.2013 au kadri mtakavyopendekeza, tunaweza kwenda site! Nasubiri.