Msaada kujua.

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
32,095
Reaction score
39,619
Samahanini wajuvi wa simu.

Hivi kuna namna yoyote ya kuongeza sauti(media player)kwenye simu ya android.kwa maana ya application inayoweza kuboost sauti ikawa juu.tofauti na ya simu husika unaposikiliza audio kwa kutumia earfone.

Maana nimetokea bb sikuwahi kuboreka,sauti juu mpaka napunguza.

lakini hii android sasa naona inanikosesha amani sauti chini mno nakosa mzuka.

Wakuu-@chief mkwawa@secret service.

Na wengineo msaada tafadhari.
 
ipo kuna mods wanafanya kwenye custom roms ila inategemea na simu na rom husika.

na kama ni beginner pia itakua ngumu sana kwako.
 
ipo kuna moda wanafanya kwenye custom roms ila inategemea na simu na rom husika.

na kama ni beginner pia itakua ngumu sana kwako.

Mkuu ni kweli ni mgeni huku,nna s3

Sasa sijui naanzia wapi?niliichukua mkonono nahisi teyari imeisha kuwa rooted. Unaweza nipa mwanga tafadhari.
 
Mkuu ni kweli ni mgeni huku,nna s3

Sasa sijui naanzia wapi?niliichukua mkonono nahisi teyari imeisha kuwa rooted. Unaweza nipa mwanga tafadhari.

s3 mbona ina sauti kubwa tu. nimewahi kuimiliki, hebu jaribu kutumia player nyengine yoyote kama vlc au mx player download playstore then test media tofauti tofauti.

kueka rom sio ngumu ila ni risk. mimi nilikua natumia custom rom moja inayoitwa s4 revolution igoogle uione.
 

Sawa mkuu ngoja niingie field ntarudisha majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…