msaada kujua simu yangu

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,125
Reaction score
14,629
jamani nina simu ya nokia nataka niiunge kwa internet sasa ishu ni nashindwa kujua ni nokia namba ngapi mfano nikia 6020 au .... mwageni maujanja
 
kita '*#0000#'
Ni kweli kabisa na itakonyesha ilitengenzwa lini yaani tarehe,mwezi na mwaka na aina ya simu kama ni N-73 ect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…