Kaka nami nataka jua namna ya kucheza na hivyo vitu hivyo naomba unisaidie niwe mwanafunz wako Niko morogoro
Mkuu naomba kujifunza namna ya kurepair hizi simu Mimi nipo Arusha una mafunzo lini naitwa Joseph NCHINGA 0784815017/0715270107/0767260810vifaa hivi vinatumika tofauti1.simu aina ya blackberry,iphone,all android powered phone na baadhi ya za kichina zinatumia sytems ambazo azona key( dongle) na 70% ya software zake ni free kwenye net.2.nokia sony,lg,samsung,htc etc.hizi zinatumia dongle system for 80%,ni kama 20% ya software zake zipo free kwenye netdongle ni laki 2.5 to 4 lakis, ila kama unataka kuwa na sytem kamili,dongles na items nyingine za kukufanya uwe fundi mzuri unatakiwa uwe na 1M. miaka ya 2004 to 2008 nilikuwa nnafundisha hii kozi ya mafundi simu,Na nna usajiri wa VETA,nnipo katika plan ya kuanza tena kituo cha kufundisha Dar,Mwanza na Arusha hivi karibuni, kama unataka more info just pm me ,nipo tayari kukupa msaada wowote unaotaka katika ulimwengu wa kurepair simu za mikononi
Mkuu kwa kuanzia natakiwa niwe na Box aina gani? Simu ni zile tecno ndogo ndogo na android ambazo zina userlockvifaa hivi vinatumika tofauti1.simu aina ya blackberry,iphone,all android powered phone na baadhi ya za kichina zinatumia sytems ambazo azona key( dongle) na 70% ya software zake ni free kwenye net.2.nokia sony,lg,samsung,htc etc.hizi zinatumia dongle system for 80%,ni kama 20% ya software zake zipo free kwenye netdongle ni laki 2.5 to 4 lakis, ila kama unataka kuwa na sytem kamili,dongles na items nyingine za kukufanya uwe fundi mzuri unatakiwa uwe na 1M. miaka ya 2004 to 2008 nilikuwa nnafundisha hii kozi ya mafundi simu,Na nna usajiri wa VETA,nnipo katika plan ya kuanza tena kituo cha kufundisha Dar,Mwanza na Arusha hivi karibuni, kama unataka more info just pm me ,nipo tayari kukupa msaada wowote unaotaka katika ulimwengu wa kurepair simu za mikononi
Miracle inakufaaMkuu kwa kuanzia natakiwa niwe na Box aina gani? Simu ni zile tecno ndogo ndogo na android ambazo zina userlock
haina tofauti na kuflashi gogo mkuu,ukishaitumbukiza chooni unaminya kile kidude kwenye sinki utasikia waaaaaaaaaaah ujue imeshaondoka hiyoWadau nilitaka kujua mfumo mzima wa kuflash s
Miracle inakufaa
Bei sifaham mkuu... Ila tool zipo nyingi tu ambazo ni freeBei yake?
baada ya kuinstall hiyo software unahitaji vifaa gan ili uweze kuflash simu?kwa android mtk based processor( includes all versions of tecno, x-bo, vodafone) unaweza kuflash kwa smartphone flash tool(sp flash tool) ni free software inapatikana net.
kwa mtk featured phones( tecno za batani e.g tecno t728, 650 etc) flash kwa kutumia crack ya GPG DRAGON)
Kwa simu zenye processor za spreadtrum(spd), inajumuisha simu zote za itel na baadhi ya samsung za batani tafta software inaitwa downgrade au upgrade tool nayo pia ni free.
nitarud tena baadae....
Drivers tu za simu husika.... Na simu yako pemben basi.. Plus usb cable na firmwares yako.baada ya kuinstall hiyo software unahitaji vifaa gan ili uweze kuflash simu?
kwa android mtk based processor( includes all versions of tecno, x-bo, vodafone) unaweza kuflash kwa smartphone flash tool(sp flash tool) ni free software inapatikana net.
kwa mtk featured phones( tecno za batani e.g tecno t728, 650 etc) flash kwa kutumia crack ya GPG DRAGON)
Kwa simu zenye processor za spreadtrum(spd), inajumuisha simu zote za itel na baadhi ya samsung za batani tafta software inaitwa downgrade au upgrade tool nayo pia ni free.
nitarud tena baadae....
Firmware-Flashfile-Stockrom: Miracle Box 2.27A Full Crack Working 1000% Without hwid free DownloadLink za kudownload hizo crack wakuu
Free software not very safe no updateskwa android mtk based processor( includes all versions of tecno, x-bo, vodafone) unaweza kuflash kwa smartphone flash tool(sp flash tool) ni free software inapatikana net.
kwa mtk featured phones( tecno za batani e.g tecno t728, 650 etc) flash kwa kutumia crack ya GPG DRAGON)
Kwa simu zenye processor za spreadtrum(spd), inajumuisha simu zote za itel na baadhi ya samsung za batani tafta software inaitwa downgrade au upgrade tool nayo pia ni free.
nitarud tena baadae....
Vipi ukitaka kuzi flash simu kubwa i.e LG G2? tool ipi una recommend?ni software ambayo ipo cracked...unaweza tumia bila box. latest kwa sasa ni 3.53c
Nicheki 0658190978, 0763976109Wadau nilitaka kujua mfumo mzima wa kuflash s
Flashing is writing and erasing firmware or eepromKuflash simu:
Simu ina software kama vile computer.Software ya simu ina sehemu kuu 3 1.eeprom 2.Base software 3.Language pack.
Kuflash kupo kwa aina 3
1.Kutoa lock simu ina aina 2 za lock 1.network lock(katika nchi za ulaya makampuni ya simu unnunua simu kwa maelfu na kuziprogram zitumie kadi zao tu na sio kadi za mitandao mengine)mfano simu/modem za Tigo azikubali line za Airtel au voda so unaziflash ili kuifanya simu ipokee kadi yeyote
2.User lock mwenye simu anaweka lock ili simu yake isiwezechezewa na mtu mwingine.so unaflash kutoa hii lock na kuifanya free.
Languange pack flashing
Hapa Tanzania,hii flashing sio sana kufanyika,katika flashing hii,unaweza kuta simu aina lugha ya kiengeleza so unafuta iliyopo na kuiweka unayotaka.
Vifaa vya flshing vipo vya aina 2 1.with hardware key (dongle) 2. With non flshing hardware key.
To be continue my batt is going to die soon