Mkuu mbona IPO wazii Sana ndioHabari!
Naomba msaada kunifafanulia hii.
Hapo walipoandika MAHALI ina maana natakiwa kwenda chuoni kwa ajili ya usahili? View attachment 841258
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante... Ni kua na uhakika tu mkuu... Mara yangu ya kwanza [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Fibs njoo nikupeleke mahala husika. Nikukute wapi? Nipo hapa back town kona ya nairobi mda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuandikiwa mahali pa kufanyia bado huamini kama ni kweli??Habari!
Naomba msaada kunifafanulia hii.
Hapo walipoandika MAHALI ina maana natakiwa kwenda chuoni kwa ajili ya usahili? View attachment 841258
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda hapo hapo Arusha Technical College ndo sehemu husika zingatia muda na tarehe husikaHabari!
Naomba msaada kunifafanulia hii.
Hapo walipoandika MAHALI ina maana natakiwa kwenda chuoni kwa ajili ya usahili? View attachment 841258
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari!
Naomba msaada kunifafanulia hii.
Hapo walipoandika MAHALI ina maana natakiwa kwenda chuoni kwa ajili ya usahili? View attachment 841258
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi pia utaitwa na ile position ya DIT kama uliomba, kuna jamaa yangu naye kaitwa ATC pia.Asante... Ni kua na uhakika tu mkuu... Mara yangu ya kwanza [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app