mkuu tumia opera mini then fanya hivi.
Ingia
mobile.yahoo.com kwanza itafunguka site kama ya desktop click sign in then itakuja panel ya kulog in kama ya desktop pia. Ingiza username na password login
utaletewa captcha ya kusolve ingiza namba/herufi za kwenye image kwenye kibox click continue
utaona umeingia yahoo ya desktop lakini huwez fanya chochote hata kufungua email hutaweza.
Close yahoo ya desktop bila kulogout then open m.yahoo.com ili kuingia yahoo ya simu
click mail utaona unaingia yahoo ya zamani. Kwa faida yako usilogout tena