Kompyuta chache sana za windows Xp zitakubali Windows 7 au 8 bila kubadilisha baadhi ya vitu...mara nyingi itakudibi uwe na ram zaidi ya 2gb na processor nzuri, ambapo sio rahisi kukuta pc za xp zikiwa hivyo.(nyingi ni pentium)
Pia ms office ni package tofauti kabisa, hii huwezi kuipata moja kwa moja na windows installation.