rhyme
Member
- Jun 29, 2013
- 22
- 3
Wakuuu, laptop yangu inatumia window 8 sa iv juzi kat apa kunam2 nlimwazima sa imerud inawaka vizuri, sehemu ya kuweka password pia inaleta tatizo linakuj pale unapotaka kuingia kweny desktop inagoma kabisa ata zile apps zingine zinazo display kweny start pia zinagoma...
Naombeni msaada wenu wakuu nifanyaje
Naombeni msaada wenu wakuu nifanyaje