Pole sana kaka
mimi ninakushauri ukafwatilie necta uangalie wanakwambia nini
kama vipi ongea na chuo kabisa mapema iliwakuruhushu uende na hiyo leaving
msaada mkubwa baada ya wao kushindwa kukamilisha kwa wakati,waombe wakutengenezee Statement of results ambayo wao wataituma direct chuo ulicho chaguliwa kuna gharama zake pia then utafuatilia suala lako baada ya kuweza kutambuliwa na chuo.