Naamini kuna wataalamu wa masuala ya viwanja humu..naombeni kuuliza vipimo vingi vya viwanja vipo katika square metres (sqm)..sasa nataka kujua square metre moja ni sawa na ukubwa gani? Na pia ekari moja inaweza kuwa na square metre ngapi? ..naombeni msaada wenu jamani coz hii mambo huwa inanichanganya sana.