Unaweza kufanya japo utatumia software ndogo ndogo. Ila Ukitaka kutumia ''Professional'' video editing, ni lazima utafute software kubwa kama vile Adobe Première, Sony Vegas etc. Na hapo ni salama zaidi ukawa na computer yenye specification kubwa kuanzia 4 GB RAM, 2.7 GHz clock speed, at least 500 - 1 TB HDD. Huo ni upande wa sisi tunaotumia ''Windows OS''. Ila kwa wale wanaotumia MAC OS - APPLE, wao mara nyingi wanatumia FINAL CUT, na PREMIERE, lakini specification ni lazima zianzie hapo kupanda.Habar watanzania wenzangu.Nina computer Aina ya toshiba RAM 3 HDD180 nahitaji kufanya video editing and photo editing.je machine yangu hii ina uwezo wa kufanya hizo shughuli na je kama ina huo uwezo ,, je hizi software za editing naweza kuzipata wapi mimi si mjuzi sana wa hiz kazi. msaada hapo
nashukuru,je nazipata wapi hizi softwaresUnaweza kufanya japo utatumia software ndogo ndogo. Ila Ukitaka kutumia ''Professional'' video editing, ni lazima utafute software kubwa kama vile Adobe Première, Sony Vegas etc. Na hapo ni salama zaidi ukawa na computer yenye specification kubwa kuanzia 4 GB RAM, 2.7 GHz clock speed, at least 500 - 1 TB HDD. Huo ni upande wa sisi tunaotumia ''Windows OS''. Ila kwa wale wanaotumia MAC OS - APPLE, wao mara nyingi wanatumia FINAL CUT, na PREMIERE, lakini specification ni lazima zianzie hapo kupanda.
Karibu kwenye ulimwengu wa media.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna jina la processor hapo, soma vizuritoshiba satellite pro L450
32 Os
installed ram 3GB
Ram ni HDD ni rahisi Ku upgrade. Ila kwenye processor ndiyo kazi ipo. Ila nadhani unaweza kuanzia hiyo hiyo kwa software ya Adobe Premiere version za chini na ukafanyia kazi mpaka uwe umezoea na kupata hela ndo ununue computer kubwa.toshiba satellite pro L450
32 Os
installed ram 3GB
Wewe uko wapi????? Mimi niko Arusha naweza kukusaidia namna ya kuzipata kama uko hapa Arusha. Ila kama uko mbali na huku, tafuta mtu anayefanya kazi za editing ya video utapata mtapata mtandao na utapata tu naamini.nashukuru,je nazipata wapi hizi softwares
Bora aweke picha mkuuhakuna jina la processor hapo, soma vizuri
Unamuwakilisha vema joverestWajuzi Wanakuja Mkuu.
napatikana singida,naomba namba yako mara nying nafika arushaWewe uko wapi????? Mimi niko Arusha naweza kukusaidia namna ya kuzipata kama uko hapa Arusha. Ila kama uko mbali na huku, tafuta mtu anayefanya kazi za editing ya video utapata mtapata mtandao na utapata tu naamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok namba zangu 0767 767 299, pia ulizia watu wanaofanya kazi za video lazima utapata namna ya kupata software ndogo ndogo kama Pinnacle uanzie. Hata hiyo uliyo nayo inaweza Ku - install Adobe CS 3, na ikafanya kazi tu.napatikana singida,naomba namba yako mara nying nafika arusha
nashukuruOk namba zangu 0767 767 299, pia ulizia watu wanaofanya kazi za video lazima utapata namna ya kupata software ndogo ndogo kama Pinnacle uanzie. Hata hiyo uliyo nayo inaweza Ku - install Adobe CS 3, na ikafanya kazi tu.
Siku njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta 32bit version za software hizi.chief nimeweka picha hapo
ahsante CHIEF na wewe pia nisaidie namba yakotafuta 32bit version za software hizi.
upande wa picha
-adobe photoshop, ikiwa version mpya ni bora zaidi, hii ni ya kulipia ila unaweza tafuta iliochakachuliwa
-alternative kwa bure kuna gimp unaweza kuidownload hapa
https://download.gimp.org/mirror/pub/gimp/v2.8/windows/gimp-2.8.22-setup.exe
kwenye video i recomend cyberlink power director ila ni ya kulipia, unaweza pia kuichakachua
alternative download movie maker windows ni ya bure link hii
http://www.softpedia.com/get/Multimedia/Video/Other-VIDEO-Tools/Windows-Live-Movie-Maker.shtml