Msaada: Kuhusu uwatu (Fenugreek)

Msaada: Kuhusu uwatu (Fenugreek)

dada dori

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
233
Reaction score
93
Habari!

Naomba msaada kwa anayejua matumizi ya uwatu,na faida zake mwilini.

Kila nikienda sokoni huwa naona unga wa uwatu!
 
kwa mama mzazi unaongeza maziwa ya kunyonyesha...

peoplesssss
 
Habari!

Naomba msaada kwa anayejua matumizi ya uwatu,na faida zake mwilini.

Kila nikienda sokoni huwa naona unga wa uwatu!
JE, UNAUFAHAMU MMEA WA UWATU? ZIPO HAPA SIFA ZA MMEA HUU KATIKA TIBA. KARIBU!

Majani ya mmea wa uwatu

Mmea wa uwatu asili yake ni Ulaya Mashariki , lakini kwa hapa nchini Tanzania mmea huu hustawi zaidi katika visiwa vya unguja na Pemba.

Mmea wa uwatu unavirutubisho vingi ikiwa ni pamoja protini, nyuzinyuzi, madini ya chuma pamoja na calcium.

Majani ya uwatu hutibu matatizo ya mfumo wa chakula hususani tatizo la kutosagika vizuri kwa chakula.

Matatizo mengine ambayo huweza kutibiwa na mmea wa uwatu ni pamoja na shida ya ngozi kuwasha, matatizo ya ini, kuuma kichwa, kukosa choo pamoja na vidonda vya tumbo.

Mbali na hayo pia mmea huu husaidia sana la kunyonyoka kwa nywele, vidonda vya mdomoni majipu na kuvimba mwili.

Pia majani yake yanapopakwa usoni mara kwa mara husaidia sana uso kuonekana vizuri na husaidia kukuza nywele. Halikadhalika husaidia pia kuondoa mikunjo usoni, mba na kumfanya mhusika kuonekana kijana.

JE, UNAUFAHAMU MMEA WA UWATU? ZIPO HAPA SIFA ZA MMEA HUU KATIKA TIBA. KARIBU!

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Majani ya mmea wa uwatu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mmea wa uwatu asili yake ni Ulaya Mashariki , lakini kwa hapa nchini Tanzania mmea huu hustawi zaidi katika visiwa vya unguja na Pemba.

Mmea wa uwatu unavirutubisho vingi ikiwa ni pamoja protini, nyuzinyuzi, madini ya chuma pamoja na calcium.

Majani ya uwatu hutibu matatizo ya mfumo wa chakula hususani tatizo la kutosagika vizuri kwa chakula.

Matatizo mengine ambayo huweza kutibiwa na mmea wa uwatu ni pamoja na shida ya ngozi kuwasha, matatizo ya ini, kuuma kichwa, kukosa choo pamoja na vidonda vya tumbo.

Mbali na hayo pia mmea huu husaidia sana la kunyonyoka kwa nywele, vidonda vya mdomoni majipu na kuvimba mwili.

Pia majani yake yanapopakwa usoni mara kwa mara husaidia sana uso kuonekana vizuri na husaidia kukuza nywele. Halikadhalika husaidia pia kuondoa mikunjo usoni, mba na kumfanya mhusika kuonekana kijana.

11902490_10155890609470198_4833112118553371367_n.jpg

Asante mkuu kwa maelezo yako kuhusu mmea wa uwatu ila naomba kama hutojali na pia kama umejaaliwa muda hebu tueleze matumizi kulingana na maradhi uliyoyaainisha inshaallah.
 
Itabidi nifunguwe shule ya kufundisha Madawa wewe nenda kanunuwe kwenye duka la dawa kwa maradhi hayo juu niliyoyataja hapo utakapo nunuwa utafahamishwa namna ya matumzi yake mimi nimeshaweka kila ugonjwa sasa wewe unataka niseme kila ugonjwa matumizi yake itabidi nifunguwe shule ya kufundisha madawa.
 
Jazaakallahu khayr sheikh.
 
Matibabu ya nguvu za kiume ..kukuza na kurefudha dhakar 0744903557

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom