Msaada kuhusu USB TETHERING...

whizzkid

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
58
Reaction score
5
hello,

Naombeni msaada kwa anaejua kuhusu usb tethering,
Nataka kushare internet ya laptop kny simu yangu, nmedownload "easy tether lite app" kny simu na kny laptop lakini matokeo yake siwezi kutumia internet ya laptop kny simu ila imewezekana kutumia internet ya simu kny laptop.
 
Hio inaitwa reverse tethering IPO exclusive kwenye windows phone tu kwenye android hakuna.

ili uieke kwenye android itabidi uroot simu na kufata process Fulani ndefu kidogo. kwa maelezo zaidi jaribu kugoogle android reverse tethering maybe washatoa app inayosimplify mambo.
 
mkuu mm na2mia tecno T612 ninapata internet tatizo laptop inakuwa slow kwl kwny kusearch
 
Tafuta program moja inaitwa Kies ui-install kwenye laptop unakuwa umemaliza kila kitu
 

Mkuu chief-mkwawa usb tethering kwenye android nyingi inakuwa in-built feature.
Mfano nimefanya tethering ya Huawei Ascend Y300 kama kawaida kushea internet kwenye PC.
Kama simu haina hyo feature,wala wifi hotspot sidhani km kna supporting apps za kuwezesha network sharing zaidi ya uzinguaji!
 
Last edited by a moderator:
tafuta joiku hotspot


<a href="http://www.danasoft.com"><img src="http://www.danasoft.com/vipersig.jpg" border="0"></a><p><div style="font-family:Arial,sans-serif;font-size:11px;">Sign by Danasoft - <a href="http://www.danasoft.com">Get Your Sign</a></p></div>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…