Honda ndio mpango mzima sema bei itakua kubwa,
Nenda kwenye maduka ya wakala wao abao ni Quality Group, ukinunua kwa duka la kawaida guarantee ya kuuziwa feki ni kubwa.
Hata Kingmax kuna nzuri ila feki nyingi. Usinunue KM ukaabiwa ni Kingmax, SIO KWELI ingawa boksi zinafanana picha.
Nunua Kingmax ambayo maandishi yamevimba/yametokeza nje au kubonyezwa kwa ndani, sio KIingmax ya Stika tu, utaliwa.