E ericford JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 265 Reaction score 68 Oct 25, 2015 #1 wakuu nimechaguliwa IFM kozi ya bachelor of science in social protection sasa nataka nifanye transfer kwnd chuo kingine na pia nibadilishe kozi huko ninakotaka kwenda je inawezekana na ni hatua gani natakiwa nianze kuchukua
wakuu nimechaguliwa IFM kozi ya bachelor of science in social protection sasa nataka nifanye transfer kwnd chuo kingine na pia nibadilishe kozi huko ninakotaka kwenda je inawezekana na ni hatua gani natakiwa nianze kuchukua