huwa kikawaida simu inayopiga picha nzur za usiku haitumii flash. Always flash inaharibu picha sio kwa p3 tu hata kwa simu kubwa kama s5. Ili simu itoe picha nzur usiku inabidi iwe na kitu kinaitwa optical image stabilization ambayo huingiza mwanga mwingi kwenye camera hata kama eneo lina mwanga mdogo