T tajirijasiri JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 2,863 Reaction score 3,854 Feb 1, 2013 #1 Naombeni msaada kwa anayejua ni lini TANROADS DODOMA waliita watu interview. Kuna mtu kauliza hapa JF na akaambiwa na mdau mmoja kuwa interview tayari. Kwa mwenye taarifa ya uhakika juu ya Interview TANROADS DODOMA atoe msaada kama kweli au la!
Naombeni msaada kwa anayejua ni lini TANROADS DODOMA waliita watu interview. Kuna mtu kauliza hapa JF na akaambiwa na mdau mmoja kuwa interview tayari. Kwa mwenye taarifa ya uhakika juu ya Interview TANROADS DODOMA atoe msaada kama kweli au la!
N nasri Member Joined Mar 11, 2011 Posts 59 Reaction score 8 Feb 2, 2013 #2 Ilifanyika tar 21/12/12 kwenye nafasi ya assistant accountant, mi nillitwa! pole klama ujaiitwa adi leo.
Ilifanyika tar 21/12/12 kwenye nafasi ya assistant accountant, mi nillitwa! pole klama ujaiitwa adi leo.
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,410 Reaction score 14,119 Feb 2, 2013 #3 Ulitoa advance payment?
R R.V.P Member Joined Jan 7, 2013 Posts 13 Reaction score 0 Feb 2, 2013 #4 Mliofanya majibu yameshatoka?