Msaada kuhusu "Tala Tanzania"

Msaada kuhusu "Tala Tanzania"

genius_

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
508
Reaction score
1,328
"Tala ni app nambari 1 Tanzania inayotoa huduma za kifedha kwa wadau wanaotumia mtandao wa Tigo na Vodacom !

Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni ndogo na tuna ratiba rahisi za marejesho.

Je! Inafanyaje kazi?
- Fungua akaunti yako ya Tala
- Omba mkopo kwa dakika 5 tu
- Pata jibu la ombi lako la mkopo baada ya sekunde chache tu
- Pesa itatumwa papo hapo kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa au M-PESA
- Kopa na rejesha mkopo kwa wakati uweze kukopa viwango vikubwa zaidi

Sera ya Faragha: Unapo-download programu ya Tala, tutakuomba kusoma SMS zako pamoja na taarifa nyingine ili kuhakiki utambulisho wako, na hali yako ya kifedha, ili tuweze kukupatia mkopo wa haraka popote ulipo Tanzania. Tunathamini sana faragha na taarifa zako binafsi hazitatolewa kwingine bila ya wewe kutoa idhini."

ndugu wana Jf naomba ushuhuda wa watu waliopata mkopo kupitia hawa watu, na je kuhusu hiyo sera yao ya faragha haiwezi kutumika vibaya hasa wanapopata taarifa za mtu husika?

msaada tafadhali vyuma vimekaza
 
Hakuna lolote ni wizi mtupu,pesa watakayo kukopesha ni ile ya Mara ya kwanza tu baada ya hapo kinacho fatia nipesa yako ile ile utakayo lipa ndio wanaizungusha wao wanakula faida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tala ni app nambari 1 Tanzania inayotoa huduma za kifedha kwa wadau wanaotumia mtandao wa Tigo na Vodacom !

Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni ndogo na tuna ratiba rahisi za marejesho.

Je! Inafanyaje kazi?
- Fungua akaunti yako ya Tala
- Omba mkopo kwa dakika 5 tu
- Pata jibu la ombi lako la mkopo baada ya sekunde chache tu
- Pesa itatumwa papo hapo kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa au M-PESA
- Kopa na rejesha mkopo kwa wakati uweze kukopa viwango vikubwa zaidi

Sera ya Faragha: Unapo-download programu ya Tala, tutakuomba kusoma SMS zako pamoja na taarifa nyingine ili kuhakiki utambulisho wako, na hali yako ya kifedha, ili tuweze kukupatia mkopo wa haraka popote ulipo Tanzania. Tunathamini sana faragha na taarifa zako binafsi hazitatolewa kwingine bila ya wewe kutoa idhini."

ndugu wana Jf naomba ushuhuda wa watu waliopata mkopo kupitia hawa watu, na je kuhusu hiyo sera yao ya faragha haiwezi kutumika vibaya hasa wanapopata taarifa za mtu husika?

msaada tafadhali vyuma vimekaza
Naomba mwongozo namna ya ku-block popup ya tangazo la TALA kwenye simu yangu. Linanikela mno
 
Back
Top Bottom