Nimatumaini yangu kuwa mkowazima wa afya njema. Ndug wanajamvi ninatatizo kwenye simu ya huawei y530,tatizo liko hivi-…niliiroot kwakutumia kingroot,baada ya kuroot nikadownload ifont na kuinstall baada ya kuinstall nakajaribu kutafuta font niipendayo ikaniambia ni reboot ili kubadilisha system font nikaruhusu iriboot baada ya kureboot ikabaki kwenye kuandika Adroid bila kuendeleza chochote. Natumaini kupata msaada kutoka kwenu.
Nashukuru nimedownload zip nakuweka kwenye simu ila wakati ikianza ku update ina asema ext name error. Nakosea wapiDownload firmware hapa htI//consumer.huawei.com/nz/mobile-phones/support/downloads/ascend-y530-nz.htm
Katka hiyo zip ya firmware uliyodownload kuna pdf(HUAWEI y530 Software SD card Upgrade Guideline) inayoeleza njinsi ya kufash firmware ktoka kwenye memory card.
Umeweka zip bila ku extract?Nashukuru nimedownload zip nakuweka kwenye simu ila wakati ikianza ku update ina asema ext name error. Nakosea wapi
Extract update.zip . Update kwa kutumia hilo file. kumbuka ku_clear Cache na dalvik cache kwanza ,kabla ya ku updateNashukuru nimedownload zip nakuweka kwenye simu ila wakati ikianza ku update ina asema ext name error. Nakosea wapi
Asante kwa baraka zako mkuu.Ninashukuru sana kwamara nyingine simu yangu imetengamaa. Ubararikiwe kiogozi
Ninatatizo kama hilo mkuu nimepakua firmware inayoendana na simu yangu lakini kuna sehemu ikifika ina fail inaandika "some symlinks failed" naomba msaada hapo mkuuDownload firmware hapa http://consumer.huawei.com/nz/mobile-phones/support/downloads/ascend-y530-nz.htm
Katka hiyo zip ya firmware uliyodownload kuna pdf(HUAWEI y530 Software SD card Upgrade Guideline) inayoeleza njinsi ya kufash firmware ktoka kwenye memory card.
Zima simu,kisha bonyeza volume down na volume up button kwa pamoja usiachie kisha power button wait had uone software installation inaanza kisha achia button had imalizeNinatatizo kama hilo mkuu nimepakua firmware inayoendana na simu yangu lakini kuna sehemu ikifika ina fail inaandika "some symlinks failed" naomba msaada hapo mkuuView attachment 424563
Cc churaxzbt8
Hivyo nikijaribu haiwaki kabisa mkuuZima simu,kisha bonyeza volume down na volume up button kwa pamoja usiachie kisha power button wait had uone software installation inaanza kisha achia button had imalize
Umejaribu kutoa battery kwanza na kuweka tena?Hivyo nikijaribu haiwaki kabisa mkuu
jaribu ku-wipe cache partition, kicha update.Ninatatizo kama hilo mkuu nimepakua firmware inayoendana na simu yangu lakini kuna sehemu ikifika ina fail inaandika "some symlinks failed" naomba msaada hapo mkuuView attachment 424563
Cc churaxzbt8