Kama ilivyo hapo juu, kuna simu yangu aina ya Nokia c6 ina tatizo la mkanda unaounganisha processor na kiio/ display screen.
Mwenye kujua au mwenye kuniwezesha nipate huo "mkanda" tafadhali naomba msaada tuwasiliane pm.
Kariakoo. Jamaa hawapokei simu. Wana wateja wengi balaa. Fungua simu yako nenda nayo ikiwa uchi Kisha utapewa mkanda test kwanza ukifanya kazi ndo ulipie
Kariakoo. Jamaa hawapokei simu. Wana wateja wengi balaa. Fungua simu yako nenda nayo ikiwa uchi Kisha utapewa mkanda test kwanza ukifanya kazi ndo ulipie