Habari za asubuhi ndugu zangu, nimeona vizuri kuuliza jambo hili ili kupata msaada wa kisheria na elimu juu ya hii kitu inayoitwa Mtandao. Nauliza kwa sisi wachungaji haturuhusiwi pia kupost YouTube video ktk page yangu za mahubiri mpaka tupewe kibali TCRA? au sheria inasemaje katika hili? Msaada tafdhari.