Pole mkuu chuo kinachochukua wanafunzi wa pcm,pcb,cbg,cba,cbn kwa kozi ya ufamasia ni bugando peke yake vingne kwa pcm pharmacy hupati,my take kaza msuli upate one kali ndo utakuwa admitted pale bugando sababu wanataka 25 aplcnts out of them only 10 aplcnts with form six..!