Mimi ninasoma pcm advance ningependa kujua kama nitaweza kupata nafasi kusoma degree ya pharmacy chuo kikuu,mimi nilikua na malengo na pcb lakini nipo pcm kutokana na influence ya wazazi
Naomba kuuliza. Je nimemaliza diploma ya ufamasia. Ili niende degree niwe na vigezo gani?Pole mkuu chuo kinachochukua wanafunzi wa pcm,pcb,cbg,cba,cbn kwa kozi ya ufamasia ni bugando peke yake vingne kwa pcm pharmacy hupati,my take kaza msuli upate one kali ndo utakuwa admitted pale bugando sababu wanataka 25 aplcnts out of them only 10 aplcnts with form six..!
Pitia guide book ya equivalent entry.Naomba kuuliza. Je nimemaliza diploma ya ufamasia. Ili niende degree niwe na vigezo gani?
Kwa Sasa vigezo vyuo vyote ni sawa, PCB ndio habari ya mjini kwa Program za afyaPole mkuu chuo kinachochukua wanafunzi wa pcm,pcb,cbg,cba,cbn kwa kozi ya ufamasia ni bugando peke yake vingne kwa pcm pharmacy hupati,my take kaza msuli upate one kali ndo utakuwa admitted pale bugando sababu wanataka 25 aplcnts out of them only 10 aplcnts with form six..!
Ingia tcu.go.tz tafuta admission guide ya wenye diploma/equivalent qualifications na ucheki.Sijui. Ndo ipi? Mm bado nasoma
Pharmacy ni for PCB tuMimi ninasoma pcm advance ningependa kujua kama nitaweza kupata nafasi kusoma degree ya pharmacy chuo kikuu,mimi nilikua na malengo na pcb lakini nipo pcm kutokana na influence ya wazazi
Acha kudanganya.Pharmacy ni for PCB tu
Tafuta gudebook ya TCU download mtandaoniI mean ya form 4