mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Hongera, Ushachaguliwa.Tatizo ni kwamba nikisearch index no naona selected nanukuu Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program kama ilivyo hapo juu. Uchaguzi huu utategemea uthibisho kutoka chuoni
Lakani profile wameandika weit for selection but index no nikisearch nakuta nipo selectedHongera, Ushachaguliwa.
Zinasubiriwa taratibu za chuo husika.
Kaka tuwasiliane 0758494651 watsap tusaidiane coz na nina tatizo kama hiloNa Mimi imenikuta hiyo, lakini kwa sasa nikiingiia naona tofauti kabisa , yaani naambiwa your not selected @ msaada plz
Tafuta mawasiliano ya chuo ulichopangwa wapigie simu wakutoe hofu, profile haitabadilika mpaka utakaporipoti chuo au angalau kujaza joining instructions, nao waka update information zao kwa necta.Lakani profile wameandika weit for selection but index no nikisearch nakuta nipo selected
Kama index namba uliyoiweka ipo sawa basi jipange maana unapenda kusema uongo.Kaka tuwasiliane 0758494651 watsap tusaidiane coz na nina tatizo kama hilo
EvidaceKama index namba uliyoiweka ipo sawa basi jipange maana unapenda kusema uongo.
Mkuu,,, uliapply hapa jamii forum? Hili jukwaa limekuwa na maswali mengi sana ya kitoto, samahani fungua website ya nacte na uingie kwa profile utaona vyote na kama hajachaguliwa utaambiwa nini cha kufanyawakuu mimi nilimwombea mdogo wangu, na dedline ilikuwa 30 june. je waliochaguliwa majina yametoka? na je yamewekwa kwenye website ipi? msaada tafadhali...
kakahujachaguliwa ndugu yangu,fuata protocol kupitia website ya nacte utapata majibuTatizo ni kwamba nikisearch index no naona selected nanukuu Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program kama ilivyo hapo juu. Uchaguzi huu utategemea uthibisho kutoka chuoni
pole sana kwa majibu yanayokatisha tamaa ila nikushauri tu huwezi kupata complete list utapata jina lako kwakupitia index namb yako ingia website ya nacte bofya tangazo la pili then kuna batani itakuelekeza chakufanya hapo utapata majibuwakuu mimi nilimwombea mdogo wangu, na dedline ilikuwa 30 june. je waliochaguliwa majina yametoka? na je yamewekwa kwenye website ipi? msaada tafadhali...