engineer rutebuka
Member
- Dec 6, 2018
- 21
- 3
Nenda NASANimeingia google Ila sijapata majibu yaliyosimama
Je MEO inadumu kwa mudร gani?Design za satellite mara nyingi hutengenezwa ili zidumu kwa miaka 10-15 ingiwa zinaweza kupitiliza hapo zikiwa tayari zimerushwa na muda wake kuisha (expire date) ni Kama unavyo tumia majani ya Chai yaliyokwisha muda wake.
LEO satellite zenyewe zinadumu kwa miaka 5 na GEO satellite zinadumu kwa miaka 8
Hizi ICO zinadumu zaidi ya LEOJe MEO inadumu kwa mudร gani?
HowIt never stop!
Tusubili majibu kutoka kwa wadausijui