Msaada kuhusu PUT na PHTS

Magoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
448
Reaction score
79
Kwenu wadau

Naomba kufahamishwa kuhusu hizi scale za mishahara PUT & PHTS... PUT-2 ni tsh ngapi kabla ya makato na PHTS-8 ni tsh ngapi?
Hizi scale ni za mtu mwenye masters aliyeajiriwa kama assistant lecturer katika taasisi mbili tofauti. PHTS imetolewa DIT na PUT 2 UDOM.

Happy valentine great thinkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…