msaada: kuhusu PPF

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
477
Ndugu zangu leo naombeni msaada wa taratibu za malipo ya ada ya watoto unaofanywa na PPF pindi wazazi/mzazi anapofariki.huu ni mwaka wa tatu tangu ndugu yangu afariki na baadhi ya watoto wake wanalipiwa na PPF lakini huyu ninae ishi nae hajaanza kulipiwa mpaka leo nimeenda sana ofisini kwao lakini majibu nayopata yanakatisha tamaa sana, form nilishajaza muda mrefu sana. Je ndiyo wameshadhurumiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…