Msaada kuhusu postgraduate diploma in education

Msaada kuhusu postgraduate diploma in education

mbogawile

Member
Joined
Sep 15, 2015
Posts
41
Reaction score
1
Mimi ni mhitimu wa degree ya uhasibu,kutoka na ugumu wa maisha ya mtaani nimeamua kusoma PGDE mwaka huu,hivi ajira huwa ni za moja kwa moja serikalini?
 
Ndio huwa ni za moja kwa moja miaka yote,lkn kwa tukio la mwaka kukawa na tetes kuwa walimu wataanza kuomba kazi kama watu wengine,ndo wadau wanasubir bunge jipya litoe tamko kuhusu tetesi hizo
 
Moja kwa moja kaka we soma pgde tanzania upungufu wa walimu hauwezi kuisha
 
Ada ya pgde si bora ukajiajiri coz unawza malza course then hutapta kazi
 
mi mwenyewe nna plan izo vp kwa mwaka huu nimechelewa?

hujachelewa huwa wanatoa nafasi kwa late applicants download fomu uzijaze ikipeleka mwenyewe itakuwa vizuri zaidi
 
Duce mil 3 lk 2.5

pia naomba ushauri,ipi bora kusoma diploma ya ualimu
unapata mkopo kuliko postgradu,,pia naona kaama ajira ya diploma inaonekana ni ya uhakika kwa masomo ya sayansi kuliko postgradu,,niko njia panda nifanyaje,,maana ada nayo ni kubwa,na diploma nayo miaka mingi
 
Back
Top Bottom