Sio kweliTanzania hatuna postal code just use random number au 0000
Sio kweli
Nimejaribu lakini imeshindikana za mkoa wangu ni zaidi ya nne yaani ni 53000Hizo postal code kwenye PayPal zinahitaji digits 5 Sasa anza 0 halafu malizia hizo 4 za mkoa wako
Sifuri unaeka mbele sio nyuma, ila kama inagoma kwenye mkoa weka Dar Es Salaam na postal code iweke ya dar.Nimejaribu lakini imeshindikana za mkoa wangu ni zaidi ya nne yaani ni 53000
Yaani postal code ya mkoa wa mkoa wa mbeya ni 53000,pia paypal wanahitaji digit 6.Mimi nataka nikiagiza mzigo uje Mbeya,je nikiweka ya dar haitaleta shida?Sifuri unaeka mbele sio nyuma, ila kama inagoma kwenye mkoa weka Dar Es Salaam na postal code iweke ya dar.
Shiping address ya hiyo online shop inaitaji taarifa za paypal?!Yaani postal code ya mkoa wa mkoa wa mbeya ni 53000,pia paypal wanahitaji digit 6.Mimi nataka nikiagiza mzigo uje Mbeya,je nikiweka ya dar haitaleta shida?
PayPal ni kwaajili ya kufanya malipo, shipment ya mzigo utajaza courier wako na utajaza taarifa zako zote. Eg DHL etcYaani postal code ya mkoa wa mkoa wa mbeya ni 53000,pia paypal wanahitaji digit 6.Mimi nataka nikiagiza mzigo uje Mbeya,je nikiweka ya dar haitaleta shida?
Habari za kazi wadau,nilikuwa najisajili katika mtandao wa PAYPAL kwa ajili ya manunuzi mbalimbali lakini kuna kipengele cha kujaza postal code,nilivyojaribu kuweka postal code ya mkoa wa mbeya nilipo kwasasa kutoka orodha iliyopo kwenye website ya TCRA,hizo code zimegoma.Hivyo naomba msaada labda kama kuna postal code zingine zinazotumika kusajili kwenye website ya paypal ambazo zipo tofauti na zile za TCRA. Au labda kama kuna mdau yoyote ambaye aliwahi jisajili na kufanikiwa basi anisaidie.
Tanzania hatuna postal code just use random number au 00000
Tunazo bossTanzania hatuna postal code just use random number au 00000