Msaada kuhusu open university

OPen wametoa jana majina jina lako nani na umeomba kozi gani
Mkuu msaada please...hivi na students direct cost inajumuishwa kwenye malipo ukiachana na ada? Open university pls see attachment
 
Nilitumiwa email from open university kwamba wamenichagua kujiunga hapo ila wakasema ni provision letter na majina wao mpka sasa hawajatoa nifanyaje wadau ??
Majina Open university yamekwishatoka mkuu
 
Mkuu msaada please...hivi na students direct cost inajumuishwa kwenye malipo ukiachana na ada? Open university View attachment 605018pls see attachment
Student direct cost haijumuishwi kwenye ada hizo ni cost za mwanafunzi mwenyewe. Ikiwa kuna mtu anamfadhili huo ni mwongozo wa gharama za mwanafunzi mwenyewe
 
Reactions: CMT
Student direct cost haijumuishwi kwenye ada hizo ni cost za mwanafunzi mwenyewe. Ikiwa kuna mtu anamfadhili huo ni mwongozo wa gharama za mwanafunzi mwenyewe
Kwahiyo inamana hzo cost ni lazima mwanafunz ata zi incur ktk kipind chake chote cha masomo?
 
Nimechaguliwa diploma in distance education and open learning lakini sijapata admission letter na hata tawi lililokaribu yangu wanasema haipo lakini nina reg. No msaada wako plz
 
mwenye link ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga open university of TZ kwa ngazi ya shahada ya kwanza atupie humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…