Msaada kuhusu namna ya kuhama chuo

Msaada kuhusu namna ya kuhama chuo

Lional

Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
10
Reaction score
0
Nimechaguliwa chuo cha kairuki kozi ya MD, mkopo nimepewa wa meal and allowance bas, nimekwama ada maana ni million 7. Je naweza kwenda nikalipa kidogo then nifanye transfer ya chuo kingine, je huwa inawezekana kuhama.
 
Kuhama unaweza mkuu. Jaribu kufika kwa Dean of Faculty atakupa muongozo
 
Kuhama inawezekana kabisa mkuu, tena kile chuo wakiamua kukukamata wanakukamata kweli,utasapua hadi ushangae pale
 
Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP?
tafuta unakotaka kwenda kama kuna nafasi then nenda chuo ulichochaguliwa ila lazima TCU na loan board wajue
 
Back
Top Bottom